Psalms 105:8-11


8 aHulikumbuka agano lake milele,
neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu,
9 bagano alilolifanya na Abrahamu,
kiapo alichomwapia Isaki.
10 cAlilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele:
11 d“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani
kuwa sehemu utakayoirithi.”
Copyright information for SwhNEN